Utalii nchini Afrika Kusini

Afrika Kusini ni kivutio cha watalii na sekta hiyo inachangia kiasi kikubwa cha mapato ya nchi. Wakala rasmi wa Utalii wa Afrika Kusini ana jukumu la kuitangaza Afrika Kusini kwa ulimwengu. Kulingana na Baraza la Utalii Duniani, sekta ya utalii ilichangia moja kwa moja ZAR bilioni 102 katika Pato la Taifa la Afrika Kusini mwaka 2012, na inasaidia 10.3% ya nafasi za kazi nchini. [1][2]

  1. "Travel & Tourism Economic Impact 2013 South Africa" (PDF). WTTC. Machi 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cabinet appoints new SA Tourism Board". 

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search